• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
MVOMERO DISTRICT COUNCIL
MVOMERO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Afya
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Uongozi
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
    • Baraza la Madiwani
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Rasilimali Watu
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Itakayo tekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti

Utumishi na Utawala

UTUMISHI NA UTAWALA

Idara ya Utawala na Utumishi ni nguzo kuu katika kuhakikisha uwajibikaji na utekelezaji wa shughuli mbalimbali ili kufikia dira na malengo ya Halmashauri Ya Wilaya Ya Mvomero. Ikiwa ni pamoja na kuhakikisha upatikanaji wa rasilimali watu wenye weledi, uwezo na mtawanyiko sawia katika maeneo mbalimbali ya kiutawala ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero. Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero ina idadi ya Tarafa 4 ambazo ni Mgeta, Mlali,Turiani na  Mvomero, kata 30 za Bunduki,Langali,Mgeta,Nyandira,Tchenzema,Kikeo Luale,Mlali,Mzumbe,Lubungo,Melelela,Mangae,Msongozi,,Homboza,Doma,Kibati,Pemba,Kweuma,Mhonda,Mtibwa,Kanga,Mziha,Sungaji,Maskati,Kinda,Dakawa,Mvomero,Hembeti,Mkindo na vijiji 130. Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero ina jumla ya watumishi 3,226 katika idara 13 za Utawala na Utumishi, Elimu Msingi, Elimu Sekondari, Afya, Mipango Kilimo Umwagiliaji na Ushirika, Mifugo na Nyuki, Maendeleo ya Jamii, Ardhi,Usafi na Mazingira, Fedha, Maji na Ujenzi na vitengo sita (6) ambavyo ni Kitengo cha Manunuzi, Sheria, Ukaguzi wa Ndani, Uchaguzi, Nyuki na Tehama.

Shughuli Zinazofanyika

Shughuli kuu zinazofanyika katika idara ya utawala na utumishi ni pamoja na kuajiri, kupandisha madaraja, kusimamia masuala ya kinidhamu ya watumishi , kuunda bajeti ya utumishi (kusimamia ikama ya watumishi) , usafishaji wa taarifa za kiutumishi, kutatua kero na malalamiko ya watumishi ikiwa ni pamoja na madai yao, kusimamia malipo na makato mbalimbali katika mishahara ya watumishi.

Mafanikio

Mafanikio katika idara ya Utawala na Utumishi ni kama vile kupunguza kero na malalamiko ya watumishi kwa kiasi kikubwa ikiwa ni zao la usimamizi wa misingi ya utawala bora katika Utumishi wa Umma katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.

Changamoto

Pamoja na mafanikio vilevile Idara ya Utawala na Utumishi inakabiliana na changamoto zifuatazo ni baadhi ya watumishi kutozingatia sheria, kanuni na taratibu, kasi ya upatikanaji wa watumishi ni ndogo hususani kada ya afya na madai ya watumishi kutolipwa kwa wakati muafaka,Kukosekana kwa ofisi na nyumba za watumishi za kutosha katika vituo vya kazi.

Matarajio

Idara ya Utawala na Utumishi inatarajia kuwekeza katika kujenga mazingira rafiki ya kazi kwa watumishi ikiwa ni pamoja na kutatua kero na malalamiko yao kwa wakati,kuongeza idadi ya ofisi na makazi ya watumishi katika ngazi ya kata na vijiji.Kuongeza ufanisi na uwajibikaji wa watumishi ili kutoa huduma bora . Vile vile inalenga katika kuhakikisha mtawanyiko sahihi wa watumishi katika maeneo mbalimbali ya kiutawala ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.

Matangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO 2021 December 18, 2020
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA (JOINING INSTRUCTION) KIDATO CHA KWANZA 2021 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI ZA HALMASHAURI December 15, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI LEO 6/09/2017 September 06, 2017
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI December 12, 2018
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • JUMLA YA KAYA 6172 ZA WANUFAIKA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI (TASAF III) WILAYANI MVOMERO WAMEPOKEA KIASI CHA SHILINGI MIL. 288,888,000/= AWAMU YA 25

    March 02, 2021
  • Mkurugenzi Mtendaji Awaagiza Maafisa Mifugo Kubadilika na Kukaa Kwenye Vituo Vyao Vya Kazi.

    February 17, 2021
  • Mh.Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Aagiza wawekezaji kujitokeza kwa wingi Kujenga Viwanda Vya kuzalisha Sukari

    February 16, 2021
  • Mkuu Wa Wilaya Apokea na Kugawa Vifaa Vya Msaada Kwa Waathirika wa Mvua na Upepo mkali Vijiji Vya Kipera na Kinyenze

    January 14, 2021
  • Tazama Zote

Video

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani kimkoa yafanyika Halimashauri ya Wilaya Mvomero
Video Zaidi

Viungo vya Haraka

  • Ukurasa wa Facebook

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Rais Ikulu
  • Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la Mtihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Wami Sokoine, Dakawa, Mvomero

    Anwani Ya Posta: P.O BOX 663, MOROGORO

    Msaada wa Kiufundi: +255 23 293 4348

    Mobile: +255 23 293 4348

    Baruapepe: ded@mvomerodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero.Haki zote zimehifadhiwa.